1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazoezi ya kijeshi ya Marekani Afrika yafikia mwisho

18 Machi 2022

Mazoezi ya kijeshi ya kila mwaka kati ya jeshi la Marekani na mataifa 20 ya eneo la Mashariki mwa Afrika ambayo yamefanyika Kenya na Rwanda yanamailiza kesho. Mazoezi hayo ambayo yaliwakutanisha wanajeshi 800 na washirika wa NATO yalianza Februari 28.

https://p.dw.com/p/48fMQ