1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawaziri wanaamini wataweza kupunguza gharama za usafiri

Lubega Emmanuel10 Machi 2022

Mawaziri wanaosimamia usafirishaji wa majini katika kanda ya Mashariki mwa Afrika wameazimia kushirikiana ili kuwezesha njia hii ya usafiri izidi kuwa ya manufaa kwa raia wa mataifa yao 12. Wadau katika uchukuzi wa majini wana mtazamo kuwa licha ya tunu kubwa ya kimaumbile, mataifa hayo hayajafanya vya kutosha kufaidika zaidi kutokana na bahari. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Emmanuel Lubega.

https://p.dw.com/p/48ItP