1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawaziri wa nchi zizalishazo almasi wakutana Tanzania

Veronica Natalis
29 Julai 2022

Tanzania ni mwenyeji wa mkutano wa tatu wa baraza la mawaziri la jumuiya za nchi zinazozalisha madini ya Almasi barani Afrika, mkutano unaofanyika jijini Arusha kaskazini mwa nchi hiyo. Pamoja na mambo mengine mkutano huo wa siku moja umelenga kuidhinisha nyaraka za katiba ya umoja wao, wenye wananchama nchi 18 za Afrika. isikilize ripoti ya Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/4EsES