1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mawaziri wa IGAD waazimia wanawake kumiliki ardhi

29 Julai 2021

Mawaziri kutoka mataifa ya Jumuiya ya nchi za Mashariki na Pembe ya Afrika, IGAD, wamepitisha maazimio ya pamoja ya kumwezesha mwanamke wa Kiafrika kuwa na haki ya kumiliki ardhi. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Reuben Kyama.

https://p.dw.com/p/3yF0r