1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mauaji ya Khashoggi: Trump aweka pesa mbele ya haki za binadamu

Daniel Gakuba
21 Novemba 2018

Baraza la Seneti la Marekani limeingilia kati, kumshinikiza Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuwa wazi, na kusema ikiwa mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alihusika au la, katika mauaji ya mwandishi wa habari na mkosoaji wake mkubwa, Jamal Khashoggi. Trump amekataa kuiwajibisha Saudi Arabia, akisema nchi hiyo ni mshirika muhimu kibiashara. Papo kwa Papo 21.11.2018

https://p.dw.com/p/38eGI