1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mauaji Masaka, Uganda

30 Agosti 2021

Mauaji ya raia yanayofanywa na watu wasiojulikana kwa kutumia mapanga nyakati za usiku yameongeza hofu na hasira miongoni mwa wakaazi wa eneo la Greater Masaka. Katika muda wa wiki tano, watu wapatao 32 wanaaminika kuuawa kwa kukatwa katwa na mapanga, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kuchukua hatua za kuridhisha kukomesha mauaji hao. sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/3zg3g