1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matumizi ya kupindukia ya viboko hatari kwa watoto

Salma Said28 Desemba 2011

Jamii nyingi zina utaratibu wa kutumia bakora (mkwaju, kiboko) kama njia mojawapoi ya kuwafundiha watoto adabu na nidhamu, ikiaminika kwamba mtoto asiyelelewa kwa bakora, basi hawezi kuwa na heshima wala nidhamu sahihi.

https://p.dw.com/p/13afj
Mwanajeshi mtoto.
Mwanajeshi mtoto.Picha: picture alliance/dpa

Makala hii ya Salma Said inazungumzia namna matumizi ya kupindukia ya vikobo dhidi ya watoto yanavyohatarisha maisha ya watoto hao na pia kuvunja haki zao za kibinaadamu.

Makala: Matumizi ya kupindukia ya viboko hatari kwa watoto
Mtayarishaji: Salma Said
Mhariri: Othman Miraji