1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matumizi ya data kuwaendeleza wanawake Tanzania

VERONICA NATALIS/M M T4 Aprili 2017

Taarifa zinapohifadhiwa huleta manufaa muhimu kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa jamii nzima kwa jumla. Jiunge na Veronica Natalis ujifunze mengi kuhusu matumizi ya data katika kuwajengea uwezo na kuwaendeleza wanawake Tanzania.

https://p.dw.com/p/2afO5
Tansania dLab
Mkurugenzi wa chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania, Tamwa, Edda Sanga, akifungua mafunzo ya Data kwa wanawake katika chuo cha Tehama CoICTPicha: DW/V. Natalis
Tansania dLab
Charles Bundu, fundi wa programu za kompyuta kutoka dLab akifundisha jinsi ya kutengeneza michoro ya dataPicha: DW/V. Natalis
Tansania dLab
Vicensia Fuko kutoka Tanznania Media Foundation, TMF, akiwasilisha mawazo ya kikundi katika mafunzo ya data kwa wanawakePicha: DW/V. Natalis
Tansania dLab
Mahadia Tunga (wa kwanza kushoto) mhadhiri msaidizi chuo kikuu cha Dar es salaam na mkuu wa mafunzo katika mradi wa dLab akitoa utangulizi wa mafunzoPicha: DW/V. Natalis