1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matukio ya Afrika kwa juma hili 18-19.2018

Mohammed Abdulrahman Mohammed17 Agosti 2018

Chama tawala chapigwa mweleka katika uchaguzi mdogo Uganda, Mahakama ya Katiba ya Zimbabwe yasubiriwa kutoa uamuzi wa pingamizi la upinzani kuhusu uchaguzi mkuu na serikali ya visiwa vya Comoro yawatia mbaroni watu kadhaa kwa tuhuma za njama za mapinduzi. Hayo na mengine mengi ungana na Mohammed Abdul-rahman katika matukio ya Afrika kwa juma zima.

https://p.dw.com/p/33J3h
Mohammed Abdul-rahman
Picha: DW/S. Mnette