1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matokeo ya awali DRC yanaonyesha Felix Tshisekedi anaongoza

27 Desemba 2023

Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katikati ya miito ya upinzani ya kutaka uchaguzi huo urudiwe. Matokeo ya awali yanaonyesha kuwa Rais Felix Tshisekedi anayewania muhula wa pili madarakani, anaongoza kwa zaidi ya asilimia 78 ya kura.

https://p.dw.com/p/4acl2