1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simanzi yaendelea kutanda Tanzania

24 Machi 2021

Watu watano waliripotiwa kufariki akiwemo mwanamke na watoto wanne katika mkanyangano wakati wa shughuli ya kumuaga marehemu Rais John Magufuli mjini Dar es Salaam. Babu Abdalla amezungumza na Bi Irene Mutua, aliyepoteza watu watano katika mkanyagano huo.

https://p.dw.com/p/3r2uF