1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matarajio ya Afrika katika mkutano wa G20

Daniel Gakuba
8 Julai 2017

https://p.dw.com/p/2gBtU

Mkutano wa G20 mjini Hamburg - Ujerumani unaendelea leo katika siku yake ya pili na ya mwisho, miongoni mwa masuala muhimu yanayojadiliwa likiwa Ushirikiano na bara  la Afrika. Mohammed Abdulrahman amezungumza na  mchambuzi wa masuala ya  Afrika na kimataifa Ahmed Rajab  akiwa mjini London na  kwanza amemuuliza kipi hasa kikubwa katika ushirikiano huo kati ya  nchi za G20 na  Afrika...! Sikiliza mahojiano hayo hapa chini.