1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIran

Matarajio na changamoto kwa rais mpya wa Iran, Pezeshkian

8 Julai 2024

Masoud Pezeshkian ameahidi kunyoosha mkono wa urafiki kwa wapinzani na mataifa ya Magharibi, Je atafanikiwa kwa kiasi gani katika hili? Abdulfattah Musa mchambuzi wa siasa za Iran anaeleza.

https://p.dw.com/p/4i1Bg