1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 7.11.2021

7 Novemba 2021

Saudi Arabia yalaani shambulio dhidi ya waziri mkuu wa Iraq Mustafa Al-Kadhimi, mamia kwa maelfu ya watu waandamana katika miji mbali mbali nchini Ethiopia na waziri mkuu wa Israel Naftali Bennett apinga ahadi ya kufunguliwa tena kwa ubalozi mdogo wa Marekani kwa ajili ya Wapalestina mjini Jerusalem

https://p.dw.com/p/42glo