1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMisri

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 21.10.2023

21 Oktoba 2023

Malori ya kwanza yaliobeba bidhaa za msaada yameingia Ukanda wa Gaza, viongozi kadhaa duniani wameikaribisha hatua ya kutumwa msaada wa kwanza wa kiutu kuingia Ukanda wa Gaza kupitia mpaka na Misri na mkutano wa kimataifa ulioitishwa na Misri kujadili njia za kumaliza vita kati ya Israel na kundi la Hamas umefunguliwa leo mjini Cairo

https://p.dw.com/p/4Xqah