1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 19.12.2021

19 Desemba 2021

Wajumbe kutoka mataifa 57 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu wakutana nchini Pakistan kwa mkutano kuhusu Afghanistan, wanaharakati wa upinzani nchini Sudan wapanga maandamano mapya Jumapili na aliyekuwa mwakilishi wa Uingereza katika mazungumzo ya Brexit David Frost ajiuzulu

https://p.dw.com/p/44XA2