1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIsrael

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 16.12.2023

16 Desemba 2023

Wanajeshi wa Israel wametakiwa kuwa "waangalifu zaidi" kufuatia mauaji ya kimakosa ya mateka watatu, Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema ameondoa uwezekano wa kuhusisha mazungumzo ya bajeti ya Umoja wa Ulaya, na kutolewa kwa fedha zilizofungiwa kwa Hungary na mpinzani mmoja wa Kongo anayeishi uhamishoni nchini Kenya, ametangaza kuundwa kwa muungano wa kisiasa na kijeshi na waasi wa M23

https://p.dw.com/p/4aF4P