1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 12.11.2022

12 Novemba 2022

Waziri wa mambo ya nje wa Ukraine Dmytro Kuleba, awapongeza viongozi wa Mataifa ya Kusini-Mashariki mwa Asia ASEAN kwa kutoa ujumbe wenye msaada wa kisiasa kwa Kiev, Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, asema ulimwengu umeshindwa katika wajibu wake kwa Myanmar na wanajeshi wa Kenya wawasili katika mji wa Goma Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo

https://p.dw.com/p/4JQcf