1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 06.02.2022

6 Februari 2022

Wizara ya Ulinzi ya serikali ya Taliban nchini Afghanistan yatangaza kurejea nchini kwa marubani watano wa jeshi la anga waliokuwa wametoroka, baraza la mpito nchini Guine ,lafanya kikao chake cha kwanza, na mamia ya waandamanaji wafanya maandamano katika miji ya Rio de Janeiro, Sao Paulo na miji mingine nchini Brazil kulalamika kuhusu mauaji ya mkimbizi mmoja wa Congo Moise Mugenyi Kabagambe

https://p.dw.com/p/46b2g