1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana, Saa 7:00 Afrika Mashariki

Daniel Gakuba
24 Juni 2018

https://p.dw.com/p/30Aug

Waturuki wapiga kura katika uchaguzi mkuu wenye ushindani mkali.
Wakuu wa nchi 16 za Umoja wa Ulaya wakutana mjini Brussels kujadili suala la wahamiaji lililogeuka mzozo mkubwa.
Mtu wa pili afariki kutokana na mripuko uliolenga mkutano wa kisiasa nchini Ethiopia, uliongozwa na waziri mkuu Abiy Ahmed.