1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana Disemba 26, 2021

SK2 / S02S26 Desemba 2021

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ambaye pia ni mpiganaji wa dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini, Askofu Desmond Tutu amefariki dunia.// Zaidi ya safari 6,000 za ndege ulimwenguni kote zafutwa kufuatia Omicron na kuwaacha mamilioni wakihangaika msimu huu wa Krismasi. // Urusi yatangaza kuwa zaidi ya wanajeshi wake 10,000 waliokuwa karibu na mpaka na Ukraine warudi katika kambi zao za kawaida.

https://p.dw.com/p/44qFZ