1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 30.12.2017

Yusra Buwayhid
30 Desemba 2017

Wanajihadi kadhaa wa Syria na familia zao wahamishwa kutoka Damascus. Korea Kaskazini yasema haitaachana na mpango wake wa kinyuklia. Na, maelfu waandamana Iran kuiunga mkono serikali yao kufuatia maandamano ya kuipinga serikali hiyo.

https://p.dw.com/p/2q8Dg