1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana: 30.10.2022

30 Oktoba 2022

Korea Kusini yaomboleza vifo vya watu zaidi ya 150 kufuatia mkanyagano katika sherehe za Halloween. Rais wa Somalia asema takriban watu 100 wameuawa katika milipuko ya mabomu mjini Mogadishu. Kujiondoa kwa Urusi katika mkataba wa usafirishaji nafaka, wasababisha wasiwasi wa mzozo wa chakula duniani.

https://p.dw.com/p/4IqZn