1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 30.05.2020

30 Mei 2020

Maandamano yazidi Marekani kupinga mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd chini ya mikono ya polisi, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel hatohudhuria mkutano wa G7 nchini Marekani na ndege ya Lufthansa, yatua china ikiwa ndege ya kwanza kutoka Ulaya kuanza safari zake nchini humo.

https://p.dw.com/p/3d0yR