1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana: 29.10.2022

29 Oktoba 2022

Urusi imesema itajibu kitendo cha Marekani kupeleka mabomu mapya ya nyuklia barani Ulaya. Umoja wa Mataifa umesema huenda mwaka huu ukawa mbaya zaidi kwa Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi. Wagombea wawili wa Urais nchini Brazil wakabiliana katika mdahalo wa mwisho kabla ya uchaguzi hapo kesho.

https://p.dw.com/p/4Ipbc