1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 28.07.2018

Yusra Buwayhid
28 Julai 2018

Miongoni mwa taarifa: Uturuki yasema uhusiano wake na Marekani waweza nusuriwa. Kijana wa Kipalestina wa miaka 17 auawa katika maandamano huko Gaza. Na, Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amsifu Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kwa mageuzi alioyafanya nchini mwake.

https://p.dw.com/p/32Eeo