1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 26.05.2018

26 Mei 2018

Marekani imeionya Syria kwamba itachukua hatua kali, iwapo serikali ya Rais Assad itakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano // Mjumbe mkuu wa Umoja wa Ulaya katika mazungumzo ya Brexit ameonya kuwa bila mkataba hapatakuwa na makubaliano ya Brexit // Shirika la Afya Duniani, WHO limepongezwa kwa uitikiaji wa haraka dhidi ya mripuko wa Ebola nchini Kongo

https://p.dw.com/p/2yMCN