1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana, 23.06.2019

SK2 / S02S23 Juni 2019

Mkuu wa majeshi wa Ethiopia apigwa risasi na kuuawa.// Mshauri mkuu wa kiusalama wa Marekani John Bolton, aionya Iran kutochukulia uamuzi wa busara wa Marekani kusitisha mashambulizi ya kulipiza kisasi kuwa ni udhaifu. //Tanzania kuchuana na Senegal, huku Kenya ikishuka dimbani dhidi ya Algeria leo katika michuano ya Afcon.

https://p.dw.com/p/3KvxV