1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 23.06.2018

Sylvia Mwehozi
23 Juni 2018

Tuliyo nayo mchana huu: Kampeni za lala salama kuelekea uchaguzi wa kihistoria wa rais na bunge nchini Uturuki kumalizika leo . Hofu ya mzozo wa kibiashara yazidi kuongezeka baina ya Marekani na Umoja wa Ulaya. Na Watu kadhaa wauawa katika mripuko uliotokea mjini Addis Ababa, Ethiopia.

https://p.dw.com/p/308FQ