1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 20.04.2019

Yusra Buwayhid
20 Aprili 2019

Wamisri wapiga kura kumuongezea muda Rais Abdel Fattah al-Sisi. Rais wa Marekani Donald Trump azungumza kwa simu na mbabe wa kivita wa Libya Khalifa Haftar. Na, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis akemea unyanyasaji wa wahamiaji na watoto katika maombi ya Ijumaa Kuu

https://p.dw.com/p/3H9ZY