1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 20.03.2021

SK2 / S02S20 Machi 2021

Ibada ya kuuga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania John Magufuli imefanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam. Maandamano ya kupinga mapinduzi nchini Myanmar yameendelea tena hii leo. Umoja wa Ulaya kuanza tena kutoa chanjo ya AstraZeneca kwa wakazi wake.

https://p.dw.com/p/3quFJ