1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana: 19.06.2022

19 Juni 2022

Wananchi wa Ufaransa wameanza kupiga kura leo Jumapili katika duru ya mwisho ya uchaguzi wa Bunge. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aapa kulikwamua eneo la kusini huku NATO ikionya kuhusu vita virefu. Watu wawili wameuawa kusini magharibi mwa Rwanda na wanaoshukiwa kuwa wanamgambo waasi.

https://p.dw.com/p/4CuVa