1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 18.07.2020

Sylvia Mwehozi
18 Julai 2020

Viongozi wa umoja wa ulaya waingia siku ya pili ya mkutano wa kuamua mpango a kufufua uchumi. Watu milioni 25 wameambukizwa virusi vya corona nchini Iran. Na Ripoti mpya ya wizara ya ulinzi ya Marekani imeeleza kuwa Uturuki iliwatuma kiasi ya wapiganaji 3,800 nchini Libya katika kipindi cha miezi miwili ya kwanza ya mwaka huu.

https://p.dw.com/p/3fWus