1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 17.08.2019

17 Agosti 2019

Pakistan yaukaribisha uamuzi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kuujadili mzozo wa Kashmir, Maandamano mengine ya kudai demokrasia zaidi yaendelea mjini Hong Kong na Sudan kusherehekea kufikiwa makubaliano ya kuundwa serikali ya mpito.

https://p.dw.com/p/3O3XW