1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 15.04.2018

Yusra Buwayhid
15 Aprili 2018

Rais wa Marekani Donald Trump na washirika wake wayasifu mashambulizi yao dhidi ya Syria. Ujerumani yatoa wito wa kurudisha uhusiano mzuri kati ya nchi za Ulaya na Urusi. Na hatua ya serikali ya Myanmar ya kuirejesha familia moja ya Warohingya yakosolewa na watetea haki za binadamu.

https://p.dw.com/p/2w549