SiasaMatangazo ya Mchana 13.06.2021To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSudi Mnette13.06.202113 Juni 2021Hali ya kiungo wa kati wa timu ya Denmark Christian Eriksen inaendelea kuimarika hospitalini baada ya kuanguka na kuzirai uwanjani jana wakati wa mechi ya kundi B kati ya nchi yake na Finland kwenye michuano ya kombe la EURO 2020.https://p.dw.com/p/3upECMatangazo