1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 10.06.2018

Yusra Buwayhid
10 Juni 2018

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un awasili Singapore kabla ya mkutano wake na Rais wa Marekani Donald Trump kuanza. Kundi la nchi saba zilizostawi kiviwanda ulimwenguni - G7, limeahidi kufadhili elimu kwa wasichana kwa kutoa euro bilioni 2.5. Na, rais wa Syria Bashar al-Assad akana madai ya nchi yake kuongozwa na Urusi.

https://p.dw.com/p/2zEdm