1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 09.08.2022

SK2 / S02S9 Agosti 2022

Maelfu ya wakenya wafika vituoni kupiga kura kumchagua rais wa tano/Rais Uhuru Kenyatta apiga kura yake/ Naibu wa Rais Kenya, William Rutto, apiga kura/Raila Odinga apiga kura mjini Nairobi/ Vurumai katika kituo cha kupigia kura cha Tudor Mombasa/Maendeleo ya zoezi la upigaji kura Mombasa, Nakuru, Kisumu, Marsabit,Garissa, na nchi za inje

https://p.dw.com/p/4FJXR