1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana. 08.03.2020

8 Machi 2020

Waziri mkuu wa Italia Giuseppe Conte, atangaza hatua kali za karantini dhidi ya corona, takriban watu 32 wafariki kwenye ajali katika barabara inayouunganisha mji mkuu wa Syria, Damascus na mkoa wa Homs na idadi ya watu waliofariki baada ya kuporomoka kwa hoteli moja iliyokuwa ikitumiwa kuwaweka watu chini ya karantini ya virusi vya corona mjini Quanzhou nchini China, yafikia watu 10.

https://p.dw.com/p/3Z3Ff