1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 07.10.2017

Yusra Buwayhid
7 Oktoba 2017

Marekani yatangaza rasmi kimbunga Nate baada ya kuelekea Pwani ya Ghuba ya Marekani. Uhispania yajiandaa kwa maandamano zaidi juu ya mzozo wa jimbo la Catalonia. Sudan yapokea uamuzi wa Marekani wa kuiondolea vikwazo vya muda mrefu vya kibiashara.

https://p.dw.com/p/2lQkO