1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 07.09.2019

7 Septemba 2019

Zimbabwe yaanza kuomboleza kifo cha rais wake wa zamani Robert Mugabe, Iran imetangaza kutumia mashinepewa za hali ya juu kurutubisha madini yake ya Urani na Wabunge wa Uingereza wajitayarisha kwenda mahakamani kulaazimisha kuchelewesha Brexit

https://p.dw.com/p/3PDBj