1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 07.07.2019

SK2 / S02S7 Julai 2019

Iran yasema itapunguza zaidi kuzingatia majukumu yake chini ya makubaliano ya kinuklia na mataifa yenye ushawishi mkubwa zaidi duniani. Waziri wa masuala ya kiuchumi wa Ujerumani Peter Altmaier aanza ziara ya siku tano nchini Marekani. Vikosi vya kiusalama nchini Iraq vyaanza operesheni ya kijeshi katika mpaka na Syria .

https://p.dw.com/p/3LhwS