1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 07.03.2020

7 Machi 2020

Shirika la Afya Duniani limesema hali ya kuongezeka kwa wagonjwa wa virusi vya Corona nje ya China inatia wasiwasi//Uturuki imesema hakuna ukiukaji wowote katika makubaliano ya kusitisha mapigano kwenye jimbo la Idlib nchini Syria//Maafisa wa Saudia wamewakamata wanafamilia wawili wa kifalme kwa madai ya kupanga njama za kumpindua Mfalme Salman na mwanawe, Mohammed bin Salman

https://p.dw.com/p/3Z1OS