1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo Ya Mchana: 07.02.2023

7 Februari 2023

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea hofu yake juu ya vita vya Ukraine. Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov, anafanya ziara nchini Mali. Aliyekuwa kiongozi wa kijeshi wa Pakistan Pervez Musharraf anatarajiwa kuzikwa hii leo.

https://p.dw.com/p/4NBbT