1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 06.06.2020

6 Juni 2020

Maandamano ya "Blacl lives Matter" ya kupinga ukatili wa polisi na ubaguzi wa rangi yafanyika kwa amani nchini Australia, wanachama wa OPEC kujadili mpango wa kurefusha muda wa kupunguza uzalishaji wa mafuta na Urusi yaripoti maambukizi mapya 8,855 ya virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3dLH3