1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 21.11.2021

21 Novemba 2021

Jeshi nchini Sudan lamrejesha madarakani waziri mkuu Abdalla Hamdok, jeshi la Ethiopia lafanya mashambulizi mapya ya angani katika jimbo la Kaskazini la Tigray na raia saba wa Uturuki waliokuwa wamezuiwa Mashariki mwa Libya warejeshwa salama nchini mwao.

https://p.dw.com/p/43JSk