1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 12.11.2022

12 Novemba 2022

Maafisa wa polisi wa Ukraine na huduma za televisheni na radio zimerejea katika jimbo la Kusini la Kherson, Jumuiya ya ASEAN na Marekani kuimarisha ushirikiano na wanajeshi wa Kenya, wamewasili katika mji wa Goma Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo

https://p.dw.com/p/4JR2C