1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 11.10.2020

11 Oktoba 2020

Wizara ya mambo ya nje ya Uturuki yasema waziri wake Mevlut cavusoglu amtaka mwenzake wa Urusi Sergei Lavrov kuishinikiza Armenia kuzingatia masharti ya mkataba uliosimamiwa na Urusi kuhusu eneo la Nagorno Karabakh, Korea Kusini yatoa taarifa ya kuikumbusha Kaskazini kuhusu makubaliano yalioko ya kuzuia mapigano na Nigeria yavunjilia mbali kikosi maalum cha polisi baada ya maandamano ya umma

https://p.dw.com/p/3jlXn