1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni ya DW Kiswahili: 06.02.2022

6 Februari 2022

Umoja wa Mataifa wasema watoto wadogo bado wanazuiliwa katika gereza moja Kaskazini Mashariki mwa Syria, Umoja wa Afrika walaani wimbi la mapinduzi ya hivi karibuni na jaji mkuu nchini Tunisia Youssef Bouzakher amshtumu rais wa nchi hiyo Kais Saied kwa kuhujumu uhuru wa idara ya mahakama

https://p.dw.com/p/46bS3