1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni, Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
31 Machi 2019

https://p.dw.com/p/3FySf

Mchekeshaji katika vipindi vya televisheni atazamiwa kuongoza katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais inayofanyika leo nchini Ukraine.
Mkutano wa kilele wa nchi za Kiarabu wafanyika nchini Tunisia, washiriki walaani sera ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu Mashariki ya Kati.
Wakazi wa wilaya tatu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wapiga kura katika uchaguzi uliocheleweshwa.